Thursday, 17 March 2016

TANZIA;MWANAFUNZI WA MWAKA WA NNE CHUO KIKUU CHA SUA ADUMBUKIA KWENYE BWAWA NA KUFARIKI DUNIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY


Mwanafunzi wa SUA kozi ya engineering Mwaka wa nne ENG.KUNYUMBA,ISACK alifariki dunia jana tarehe 16/3/2016.
Kifo cha marehemu kimetokea wakati akiwa anachukua data za researxh maneo ya mabwawa ya horticulture SUA.Kwa bahati mbaya aliteleza kwenye bwawa la hortcuture,juhudi za kumwokoa zilifanyika lakini alikuwa tayari amefariki dunia.
Maswayetu-blog inawatakia pole familia ya marehemu kwa kipindi hiki kigumu,Mungu aipumzishe roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN.
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *