TANZIA:MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA NDG.KAGENZI AFARIKI DUNIA | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Saturday, 5 March 2016

TANZIA:MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MASWA NDG.KAGENZI AFARIKI DUNIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
[​IMG]
Kafariki jana usiku ikiwa ni masaa machache tu yamebaki Majaliwa amtembelee akiwa ziarani Simiyu.
Sababu kubwa ni pressure ,wakati anakimbizwa bugando akafariki dunia.
R I P MKUU ,innocent the blogger boy naheshimu mchango wako ktk wilaya yangu ya MASWA.

MASWAYETU BLOG TEAM TUPO PAMOJA NANYI KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us