Thursday, 3 March 2016

TANGAZA NA MASWAYETU BLOG UFAIDIKE NA BIASHARA YAKO

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Habari zenu,
Kwanza kabisa nipende kuwapongeza wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU BLOG  kwa kuendelea kuwa pamoja katika kuendeleza upatikanaji wa habari mbalimbali.

Hadi sasa Maswayetu blog idadi ya FOLLOWERS wapatao  MIL 4300000.
Ina pageviewers hadi 40000 kwa siku moja.

Tunakuomba ewe mdau wetu kutangaza biashara yako kwenye blog yetu,tuna uhakika utafanikiwa kwani blog yetu inafikiwa na watu wengi zaidi.

Kama unatangazo lolote lile,tafadhali wasiliana na uongozi wa MASWAYETU BLOG kwa kupiga simu namba 

+255652740927 
+255768260834
Karibuni saana!
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *