Sunday, 6 March 2016

VIDEO:RAIS MAGUFULI ATEUA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA,"MHANDISI KIJAZI",OMBENI SEFUE OUT

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. 
Kabla ya uteuzi huo Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini India.

Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine.

Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi  wa Mawasiliano, IKULU
Dar es Salaam

06March,2016

Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *