Picha: Wafuasi wa CHADEMA Wafurika Mahakamani Kufuatilia Kesi ya Ezekiel Wenje,mabomu yarindima mwanza | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Monday, 14 March 2016

Picha: Wafuasi wa CHADEMA Wafurika Mahakamani Kufuatilia Kesi ya Ezekiel Wenje,mabomu yarindima mwanza

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mamia ya wafuasi wa CHADEMA  wakiongozwa  na  Mwenyekiti  wao Freeman Mbowe leo  wamefurika mahakama  kuu  jijini  Mwanza katika kesi ya  mbunge wa zamani wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA)  anayepinga  matokeo  ya  Stanslaus Mabula (CCM). 

Polisi  wametumia  nguvu  ya  ziada  kuhakikisha  ulinzi  unaimarika  mahakamani  hapo
Ezekia Wenje akiwa  Mahakamani
Mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula akiwa mahakamani
Ezekiel Wenje akisubiri kutoa ushahidi
Freeman Mbowe na  Ezekiel Wenje wakiwa mahakamani
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us