Friday, 11 March 2016

Nikki Mbishi Amlipua Dogo Young Dee Kiana Kuhusu Matumizi ya Madawa ya Kulevya

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Katika pitapita zangu Insta leo, nimekutana na picha ya Nikki mbishi aliyopost leo akiwa na Becka Title wanakula ugali. Caption ya picha hiyo inasema hivi "Huwezi kuwa mjanja ikiwa unapotea kwa madawa ya kulevya, halafu ndugu zako na washkaji zako wa karibu wanakuchana unawaona masnitch. Oya baba Marietha @beckatitle_tz tule ugali kuku bila kusahau maji mengi. Acha wazee wa #UjanjaUjanja wapotee.
Hii inaashiria kuwa tayari Beckatitle ashammwagia Nikki Mbishi ubuyu kuhusu Young Dee(Mzee Wa UjanjaUjanja) kuhusu kupotea kwake na madawa. Its the high time dogo abadilike awachane na madawa.
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *