Sunday, 6 March 2016

Mabadiliko ya tarehe ya usaili wa mahojiano kwa Kada za Instructor 1 na Laboratory Technician II ( MJNUAT)

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mabadiliko ya tarehe ya usaili wa mahojiano kwa Kada za Instructor 1 na Laboratory Technician II ( MJNUAT) Usaili wa kada za Instructor 1 na Laboratory Technician II utafanyika siku ya
Jumanne tarehe 8 Machi 2016.
Mahali  ni  palepale,  Chuo  Kikuu  Ardhi  ,  Dar-es-Salaam,  Planning  Building, Chumba Namba 46. Usaili utaanza saa 1 kamili asubuhi.

Zingatia:   Usaili   wa   mahojiano   kwa   kada   zingine   zote   utafanyika   kama ilivyopangwa yaani Jumatatu tarehe 7 Machi, 2016 saa 1 kamili asubuhi.

Tangazo hili limetolewa na:

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Kilimo na Tekinolojia cha Mwalimu
Julius K. Nyerere (MJNUAT)


4 Machi 2016
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *