Monday, 21 March 2016

DC MASWA AAGIZA JESHI LA POLISI MASWA KUMKAMATA MENEJA WA MAMLAKA YA MAJI MASWA LEMA JEREMIAH

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

DC Maswa Rosemary Kirigini ameliagiza jeshi la polisi kumkamata na kisha kumfikisha katika vyombo vya sheria Meneja wa Mamlaka ya Maji Maswa(MAUWASA)Lema Jeremiah (pichani) kwa kuidanganya kamati ya ulinzi na usalama juu ya gharama za ujenzi wa chujio la maji katika bwawa la Zanzui.Naye Rc Simiyu,Antony Mtaka ameitaka TAKUKURU kuchunguza uendeshaji wa Mauwasa kwani kuna dalili za matumizi mabaya ya fedha za serikali.Pia kuwanweshwa maji yenye tope wakazi wa Maswa na bila kuyawekewa dawa ya kuua vijijidudu.
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *