VIDEO:MWANAFUNZI WA SAUT MWANZA AKIPIGWA MAWE,BAADA YA KUNG'ANG'ANIA SIMU YA MPENZI WAKE | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Saturday, 27 February 2016

VIDEO:MWANAFUNZI WA SAUT MWANZA AKIPIGWA MAWE,BAADA YA KUNG'ANG'ANIA SIMU YA MPENZI WAKE

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
marehemu akiwa na mpenzi wake aliemsababishia kifoHabari yenu,
kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika katika kuangalia simu ya mpenzi wake alikuta sms ya mwanaume mwingine ambapo,alichukia na kuamua kuondoka na simu ya mpenzi wake.
Alichokifanya binti huyo aliita MWIZI ,watu walikuja na kupiga bila kuuliza,TAZAMA VIDEO HAPO CHINI.
video
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us