MPYA:WANAFUNZI WA SUA KOZI YA FOOD PROCESSING WAFANIKIWA KUPANDA MLIMA ULUGURU NA KUWEKA RECORD MPYA | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Saturday, 20 February 2016

MPYA:WANAFUNZI WA SUA KOZI YA FOOD PROCESSING WAFANIKIWA KUPANDA MLIMA ULUGURU NA KUWEKA RECORD MPYA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Wanafunzi wa chuo kikuu SUA kozi ya food processing wamefanikiwa kupanda mlima uluguru,kwa mara ya kwanza,tangu wafike chuoni hapo.

Wakizungumza na reporter wa blog hii ya MASWAYETU ,mmoja wa walioshirikisafari hiyo bwana SHABANI MLISHIDI amesema kwamba safari hiyo ilianza mida ya saa moja kasoro asubuhi ambapo walifanikiwa kupanda mlima huo kupitia njia ya kwa mkuu wa mkoa wa MOROGORO. 
Zifuatazo ni picha mbalimbali wakati wa TOUR hiyo iliyofanyika mapema leo hii,
Kutoka kulia ni mwa picha hii ni(bi halima,prisca,angle,bazila,tete,lilian,mlishidi,sabuni,cos,jaq,kato,tina,da froza,isaya,na mr,innocent

hawa ni wanafunzi wa SUA mwaka wa tatu wakiwa mlimani

hapa katika picha ni vijana wakiwa wanapanda mlima,(tete,eddy,neville)

hapa ni moja ya picha wakiwa wanapanda mlima huo  wakiongozwa na bi halima

waliopo ktk picha ni pamoja na mchizi wa dar-ibra,kato,dada fathiya,valence,bazilla,shadrack,tete,prisca,angle,innocent na  christina

wanafunzi hao wakiwa mlimani ktk moja ya vyanzo vinavyotirisha maji mkoani morogoro

hapa ni brother neville na brother eddy wakiwa njiani wakipanda mlima huoBONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us