LIVE UPDATES:TAZAMA MECHI YA SIMBA VS YANGA | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Saturday, 20 February 2016

LIVE UPDATES:TAZAMA MECHI YA SIMBA VS YANGA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

SIMBA WATUA TAIFA, WACHEZAJI WAKE WAKIKWEPA CHUMBA CHA YANGA, WAINGIA CHUMBA CHA WAANDISHI WA HABARIVikosi vyote vya Yanga na Simba, tayari vimewasili kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam tayari kwa mechi yao ya leo.

Lakini wachezaji wa Simba, ambao walitua uwanjani ahapo baada ya Yanga. Hawajaingia kwenye chumba cha kubadilishia nguo ambacho kawaida hutumiwa na Yanga.

Badala yake wameingia kwenye chumba ambacho hutumiwa na waandishi wa habari wakati wa mikutano yao kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Wachezaji wa Simba waliingia kwenye chumba cha waandishi wa habari na mara moja kuanza maandalizi kwa ajili ya mechi hiyo ambayo itaanza hivi punde.

Hivi karibuni, TFF ilitoa adhabu kwa timu zilizotumia vyumba vya waandishi wa habari au kugoma kuingia vyumbani.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us