JOSE MOURINHO KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAN UNITED | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Saturday, 6 February 2016

JOSE MOURINHO KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAN UNITED

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Jose Mourinho anatarajiwa kuwa kocha wa Manchester United majira ya joto
Jose Mourinho anatarajiwa kuwa kocha wa Manchester United majira ya joto
Manchester United imefanya mazungumzo na wawakilishi wa kocha wa zamani Chelsea Jose Mourinho, BBC imetambua.

Mreno, 53, ambaye alitupiwa virago na Blues mwezi Desemba, anaendelea kuwa na matumaini ya kumrithi Louis van Gaal Old Trafford.
Mourinho alifukuzwa kazi Chelsea mwezi Desemba 2015
Mourinho alifukuzwa kazi Chelsea mwezi Desemba 2015
Hakuna makubaliano yaliyofiki, na klabu haijatamka lolote, lakini makubaliano yameanza.
Mholanzi Van Gaal, 64, anatarajiwa kuondoka United mwishoni mwa msimu – mwaka mmoja kabla ya mkataba wake kumalizika.
Louis van Gaal wa Manchester United anatarajiwa kuondoka mwisho wa msimu huu
Louis van Gaal wa Manchester United anatarajiwa kuondoka mwisho wa msimu huu
Hiyo itamuwekea njia wazi Mourinho, ambaye anajulikana kuwa atafurahia endapo ataichukua Old Trafford.
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us