MAJINA YA UHAMISHO WA WATUMISHI DESEMBA 2015-TAMISEMI | MASWAYETU BLOG
Breaking News
Loading...
Millionaire  Ads

Saturday, 16 January 2016

MAJINA YA UHAMISHO WA WATUMISHI DESEMBA 2015-TAMISEMI

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

UHAMISHO WA WATUMISHI MSM DESEMBA 2015

15-January-2016.
Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) inatangaza orodha ya watumishi 5536 wa Mamlaka za Serikali za Mitaa waliokidhi vigenzo na kupata kibali cha uhamisho katika kwa kipindi cha Desemba 2015 na orodha ya watumishi 91 wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ambao hawajakidhi vigezo vya kuweza kuhamishwa.
Vile vile, OR-TAMISEMI inatangaza orodha ya watumishi 23 ambao walikwishapata uhamisho awali na orodha ya majina yao hayakuonekana kwenye mtandao na kupelekea kutokukamilika kwa uhamisho wao.
Barua za uhamisho wa watumishi hawa zinapatikana kupitia Ofisi za Wakurugenzi wanakotoka kuanzia tarehe 22/01/2015 na sio OR-TAMISEMI, Ofisi za Wakuu wa Mikoa au Ofisi za Wakurugenzi wanakohamia.
Imetolewa na: -
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG

google+

linkedin

About Author
  • Donec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Sed posuere consecteturDonec sed odio dui. Duis mollis, est non commodo luctus, nisi erat porttitor ligula, eget lacinia odio sem nec elit. Read More

    0 comments:

     

    About Us