Monday, 16 November 2015

WALIOFUKIWA NA KIFUSI WILAYANI KAHAMA KWA SIKU 41 WAPATIKANA WAKIWA HAI,WALIKUWA WANAKULA MENDE UDONGO NA MAGOME YA MITI.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
TAARIFA KUTOKA WILAYANI KAHAMA MKOANI SHINYANGA ZINASEMA KUWA WATU WATANO KATI YA SITA WALIOKUWA WAMEFUKIWA NA KIFUSI KATIKA MACHIMBO YA NYANGARATA KWA SIKU 41 WAMEOKOLEWA USIKU WA KUAMKIA LEO WAKIWA HAI.

KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA AWALI INASEMEKANA WATU HAO WALIKUWA WANAISHI KWA KULA MENDE,MAJI,UDONGO NA MAGOME YA MITI MAARUFU KAMA MATIMBA
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *