Monday, 26 October 2015

ZEC Imetangaza Matokeo ya Urais Zanzibar Katika Majimbo Manne Mpaka Sasa.......CCM imeshinda matatu, CUF 1

INNOCENT-THE BLOGGER-BOYHadi sasa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imeshatangaza matokeo ya kura za urais kwa majimbo manne kati ya 54. 

Majimbo hayo ni Kwahani, Fuoni, Kiembesamaki na Malindi. Dk. Shein wa CCM anaongoza kwenye majimbo matatu ya Kwahani, Fuoni na Kiembesamaki huku Maalim Seif wa CUF akiongoza kwenye jimbo la Malindi.
 
1. UCHAGUZI ZANZIBAR: URAIS JIMBO LA MALINDI
ACT - 4
TADEA - 3
ADC - 10
FP - 6
CCK - 3
CCM - 2,334
CHAUMA - 7
CUF - 5,667
MAKINI - 3
JAHAZI -2
NRA - 0
TLP - 1
SAU - 2
DP - 1
 
2. UCHAGUZI ZANZIBAR: URAIS JIMBO LA FUONI
CCM - 889
CUF - 429
ADC- 3
TLP - 4
SAU- 3
DP- 2
NRA - 1
MAKINI - 1
CHAUMMA - 1
ACT - 0
TADEA- 0

  
3. UCHAGUZI ZANZIBAR: URAIS JIMBO LA KIEMBE SAMAKI
CCM - 4413
CUF - 2986
CHAUMA- 13
ACT -5
ADC- 4
FP- 4
MAKINI-2
DP- 2
JAHAZI -2
SAU-1
NRA -2
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *