Monday, 12 October 2015

TAARIFA YA UFAFANUZI KUHUSU MAJINA YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO KUTOKA BODI YA MIKOPO 2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 

TAARIFA YA UFAFANUZI

Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kwa sasa, kazi ya uchambuzi wa maombi ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu bado inaendelea.

Mwisho.

Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *