Saturday, 24 October 2015

MPYA:HAYA HAPA MAJINA [2ND BATCH] YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU SUA 2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari zenu,
Kuelekea uchaguzi mkuu 2015,CHUO KIKUU SUA kilichopo mkoani morogoro kimetoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo hicho mwaka wa masomo 2015/2016.

Kama kawaida yetu maswayetu blog team tunaendelea kuhakikisha kwamba hupati shida yoyote katika kukuletea matokeo hayo,

Tunaendele kutoa huduma ya kuangalizia watu majina,Ili kuangalia jina lako fanya yafuatayo;

1.TUMA JINA LKO KWENDA NAMBA 0768260834
    mfano:MOHAMED JUMA(SUA 2ND   BATCH)
 

2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 AMBAYO
   UTAITUMA KWA MPESA KWENDA 
NAMBA 0768260834 au TIGO PESA-0652740927

3.UTAJIBIWA NDANI YA DK MOJA TU

TUNAWATAKIA UCHAGUZI MWEMA

BONYEZA HAPA KUANGALIA MAJINA HAYO YA AWAMU YA PILI 2015/2016
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *