Tuesday, 27 October 2015

Lowassa na Magufuli Waendelea Kuchuana kwa Karibu...Mpaka sasa Magufuli Anakura 1,689,003 Huku Lowassa Akiwa na 1,239,105

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Ushindani  ni  mkubwa  sana kati  ya  Lowassa  na  Magufuli. Wote  wanakabana  kwa  karibu  sana  katika  majimbo  yote  yaliyotangazwa  na  tume.

Hadi  sasa  ni  ngumu  sana  kutabiri  ni  nani  ataibuka  kidedea. Tume  imeshatangaza  majimbo  87  hadi  sasa  na  imeahidi  kuendelea  kutangaza  majimbo  mengine  ifikapo  saa  mbili  usiku  huu.
Katika  majimbo  hayo  87,  Magufuli  ana kura  1,689,003  huku  Lowassa  akiwa  na  1,239,105
Bila  shaka  unaweza kuona......wanachuana  kwa  karibu  sana.
 
Mpekuzi  tutakuletea  majimbo  mengine  yatakayo  tangazwa  Muda huu.
CREDIT:YUVINUSM
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *