Friday, 2 October 2015

KUONGEZWA KWA MUDA WA KUTHIBITISHA KUJIUNGA NA PROGRAMU MAALUMU ZA STASHAHADA ZA UALIMU WA MASOMO YA SAYANSI (SPECIAL DIPLOMA PROGRAMMES) KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016.

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Chuo Kikuu cha Dodoma kinawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Programu Maalumu za Ualimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati (Special Diploma in Education Programme) kwa mwaka wa masomo wa 2015/2016 kuwa, muda wa kuthibitisha nia ya kujiunga na masomo umeongezwa hadi tarehe 14/10/2015. Ili kudhihirisha na kuhakiki taarifa, wanafunzi waliochaguliwa wanapaswa kutumia mfumo maalumu wa ki-elekitroniki mahali palipoandikwa bonyeza hapa. Wasiothibitisha kujiunga hawatapokelewa chuoni.


Kwa msaada zaidi piga 0757 933557 ,0757951204
IMETOLEWA NA OFISI YA NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO - TAALUMA, UTAFITI NA USHAURI.
CHUO KIKUU DODOMA.
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *