Friday, 25 September 2015

WAZIRI MH.CELINA KOMBANI AFARIKI DUNIA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani amefariki dunia nchini India  alikokuwa akipatiwa matibabu.
Taarifa za kifo chake kimewastua Viongozi wa Serikali, Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa Jimbo lake .
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *