Friday, 25 September 2015

OFFICIAL:HAYA HAPA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU UDSM,DUCE&MUCE 2015/2016

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Habari yenu,
Siku chache baada ya ku-LEAK kwa matokeo ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha UDSM 2015/2016 hatimae  leo tarehe 25/9/2015 Chuo kikuu UDSM kimetangaza approved students from TCU ambao wanatarajiwa kujiunga na chuo hiki tarehe 31/10/2015.
 Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kukuletea kitu roho inapenda kwa kukusogezea huduma hadi chumbani kwako kwa ukaribu zaidi.
Huduma yetu ni kukuangalizia kama wewe/ndugu yako,mwanao,kaka,dada etc kama umechaguliwa kujiunga na CHUO KIKUU UDSM.

ENDAPO UTATAKA KUANGALIZIWA KAMA UMECHAGULIWA FANYA YAFUATAYO;
1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834 MFANO(JOHN JOHN UDSM or MUCE
    or DUCE SELECTION 2015/2016)

2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU AMBAYO UTAITUMA KWA;
    -MPESA(0768260834)
    -TIGO PESA(0652740927)
3.TUTAKUJIBU NDANI YA DK MOJA TU,SMS ZOTE LAZIMA ZIJIBIWE
4.TUMA PESA KWANZA NDIO UJIBIWE.

KUANGALIA MAJINA HAYO SOMA HAPO CHINI

 Undergraduate Admission for 2015/2016

The following applicants have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2015/2016 academic year. The selected
applicants should report at the Mwl. J.K. Nyerere Mlimani Campus on Saturday 31st October 2015 for the orientation week which  will start on
Monday 2nd November 2015.  Applicants selected for admission into Dar es Salaam University College of Education (DUCE) and Mkwawa
University College of Education (MUCE) should report directly to the college's campuses in Chang'ombe and Iringa respectively on the same
dates. Joining instructions and admission letters should be collected at the University campuses where one is admitted. Joining instructions  and
other important information can also be downloaded from the University website at www.udsm.ac.tz  (go to Undergraduate Section)
Click Here to view the selected canditates.
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *