Monday, 28 September 2015

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU ST.JOSEPH TAWI LA ARUSHA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY 
 Habari yenu, Siku chache baada ya ku-LEAK kwa matokeo ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha ST.JOSEPH NA MATAWI YAKE YOTE  2015/2016 


hatimae  leo tarehe 25/9/2015 Chuo kikuu ST.JOSEPH kimetangaza approved students from TCU ambao wanatarajiwa kujiunga na chuo hiki.
 Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tunaendelea kukuletea kitu roho inapenda kwa kukusogezea huduma hadi chumbani kwako kwa ukaribu zaidi.

  Huduma yetu ni kukuangalizia kama wewe/ndugu yako,mwanao,kaka,dada etc kama umechaguliwa kujiunga na CHUO KIKUU ST.JOSEPH.-ARUSHA
ENDAPO UTATAKA KUANGALIZIWA KAMA UMECHAGULIWA FANYA YAFUATAYO; 1.TUMA JINA LAKO KWENDA NAMBA 0768260834
   MFANO(JOHN JOHN ST.JOSEPH -ARUSHA SELECTION
   2015/2016)
 
2.HUDUMA HII UTATOZWA TSHS 1000 TU AMBAYO UTAITUMA KWA;
    -MPESA(0768260834)
    -TIGO PESA(
0652740927) 
3.TUTAKUJIBU NDANI YA DK MOJA TU,SMS ZOTE LAZIMA
   ZIJIBIWE

 4.TUMA PESA KWANZA NDIO UJIBIWE.

KUANGALIA MAJINA HAYO SOMA HAPO CHINI
BONYEZA HAPA KUANGALIA MAJINA HAYO
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *