Saturday, 22 August 2015

WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AJIUNGA RASMI UKAWA

INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
 

Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani na mwanachama wa CCM, Mh Frederick Sumaye amejiunga  na UKAWA leo. Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar amesema ameamua kuondoka CCM kutokana na kutoridhishwa na maamuzi yaliyofanyika wakati wa kumteua Rais atayeikiwakilisha chama cha Mapinduzi (CCM) 

Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi
Post a Comment

Our Team

Video of the Day

Contact us

Name

Email *

Message *